Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Martha Karua umetuagusha wanawake tunaolilia kupata nafasi nyingi za uongozi. Wewe unadandanywa na wanaume unaenda kufanya vitu visivyostaili ujatuheshimisha kama wanawake.
Umesahau kwamba Rais Samia ndiye alienda kumtembelea Tundu Lissu akiwa Hospitali huko Kenya, hata alipokimbia kwenda kule Ubelijiji rais Samia alimfuata akamwambia Lissu twende nyumbani, huu ni upendo wa hali ya juu.
Soma Pia: Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama
Martha Karua ulichezea masharubu ya simba ukidhani amekufa. Simba Tanzania ajafa yupo macho kwahiyo ukichezea mamlaka tunakushughulikia, ukigusa kipande cha ardhi tunakushughulikia wakome wakome!. Amesema Mbunge Stella Manyanya.