Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amefanya ziara katika Kata ya Kanoge Mkoa wa Katavi na kukabidhi Shilingi Milioni tano (5,000,000) kwaajili ya kuchangia Ujenzi wa Zahanati Jengo la Mama na Mtoto katika Kijiji cha Kajeje Kata ya Kanoge.
Aidha, Mhe. Martha Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amekabidhi Shilingi Milioni Moja (1,000,000) kwa Wanawake wa UWT Kata ya Kanoge (500,000) na Kata ya Katumba (500,000) ili kuwawezesha wanawake kiuchumi kama mitaji ya kuendeleza shughuli zao.
Aidha, Martha Mariki amefanya Mkutano wa Hadhara na pia ametembelea Ofisi ya Mkuu wa Makazi ya Katumba.