Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua mmetumwa na majangiri ili Tembo wauawe.Hameni njooni mijini kama Tembo watawafuata.Mbunge wa Viti Maalum, Martha Nehemia Gwau amesema Serikali inatakiwa kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na Tembpo ambao wamekuwa wakiharibu mazao na kutishia usalama wa Wananchi