Mbunge: Matamko ya Kisiasa yanaharibu Elimu. Mtu mwenye Madaraka anaamka tu na kutoa tamko bila kusikiliza Wataalam

Swali ni kwamba je hakuna watu kutoka China ,Korea ,Japan,Russia,France,Arab countries wanaofanya kazi UN? Unazijua lugha rasmi za umoja wa mataifa?

Siungi mkono hoja yako,Inabidi utaalamu wetu utusaidie,Ukitaka kueleweka tumia lugha inayoeleweka na wengi.
 
Hahaaaa! Naona jiwe amelengwa kimtindo. Eti tuanzishe somo la Historia kwa Kiswahili kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita.

Upunguani mkubwa huu.
Nijambo zuri sana ilo tena history ya kiingereza tuifute
 
History ni uchumi
 
Hawa wasituchanganye watuambie nilini waliomba
Marekebisho ya katiba mpya yenye dhima nzima ya mfumo.
Unless otherwise wasitusumbue kichwa
 
Swali ni kwamba je hakuna watu kutoka China ,Korea ,Japan,Russia,France,Arab countries wanaofanya kazi UN? Unazijua lugha rasmi za umoja wa mataifa?

..lugha rasmi za umoja wa mataifa ni Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Kichina, Kirusi, na Kispaniola.

..lugha rasmi za sadc ni Kiingereza, Kifaransa, na Kireno.
 
..lugha rasmi za umoja wa mataifa ni Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Kichina, Kirusi, na Kispaniola.

..lugha rasmi za sadc ni Kiingereza, Kifaransa, na Kireno.
Kwenye SADC Kiswahili kimeongezwa,rejea hotuba ya mwenyekiti wa sasa Felipe Nyusi tupiganie kikubalike UN utaona Maendeleo
 
Kwenye SADC Kiswahili kimeongezwa,rejea hotuba ya mwenyekiti wa sasa Felipe Nyusi tupiganie kikubalike UN utaona Maendeleo

..Economic muscle ndio itawezesha Kiswahili kusambaa.

..Ukiangalia lugha rasmi kama Kiingereza, Kifaransa, zilisambaa ulimwenguni kutokana na mataifa hayo kujitanua kiuchumi, na kiutawala, wakati wakitafuta makoloni.

..Sasa tujiulize kama Tz tuna rasilimali watu na rasilimali fedha za kusambaza na kuitangaza lugha yetu ktk mataifa mengine.

..Je, ni busara kutumia fedha za walipa kodi wa Tz kufundisha Kiswahili ktk mataifa mengine? Je, tutakuwa tunatenda haki ukizingatia changamoto zilizoko ktk sekta ya elimu nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…