Mbunge: Matamko ya Kisiasa yanaharibu Elimu. Mtu mwenye Madaraka anaamka tu na kutoa tamko bila kusikiliza Wataalam

Mbunge: Matamko ya Kisiasa yanaharibu Elimu. Mtu mwenye Madaraka anaamka tu na kutoa tamko bila kusikiliza Wataalam

Alafu cha ajabu hizo nchi zinazosema tutumie lugha ya kiswahili wao wanawahamashisha watoto wao kutumia kiingereza na kiswahili inakuwa kwa wanasiasa wachache ambao wanatumia kubebea sifa na kupumbaza Tanzania watoto wao wasipate maarifa ya lugha ya kiingereza Ili nchi zao ziwe juu ziteke fursa zote, imagine tunataka kuuza bidhaa nje na hatuna jina kubwa Kama nchi zingine uandike kiswahili chako Nani atanunua?
Swali ni kwamba je hakuna watu kutoka China ,Korea ,Japan,Russia,France,Arab countries wanaofanya kazi UN? Unazijua lugha rasmi za umoja wa mataifa?

Siungi mkono hoja yako,Inabidi utaalamu wetu utusaidie,Ukitaka kueleweka tumia lugha inayoeleweka na wengi.
 
Hahaaaa! Naona jiwe amelengwa kimtindo. Eti tuanzishe somo la Historia kwa Kiswahili kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita.

Upunguani mkubwa huu.
Nijambo zuri sana ilo tena history ya kiingereza tuifute
 
Watanzania wanaidharau Sana somo la Historia!!
Mimi binafsi naliheshimu Sana na Kama ningepewa nafasi ya kufanya maamuzi katika sekta ya Elimu basi KISWAHILI kingekuwa lugha ya kufundishia kuanzia awali mpaka vyuo,kingereza kingekuwa somo tu!pia somo la HISTORIA kingekuwa la lazima kwa kila ngazi ya Elimu!!
Utajuaje ulipo na unakoenda Kama hujui ulikotoka??!!!!
How would you know what is if you don't know what was???!!!!
Kwenye hili MWENDAZAKE NAMUUNGA MKONO BILA HAYA🙄🙄
History ni uchumi
 
Hawa wasituchanganye watuambie nilini waliomba
Marekebisho ya katiba mpya yenye dhima nzima ya mfumo.
Unless otherwise wasitusumbue kichwa
 
Swali ni kwamba je hakuna watu kutoka China ,Korea ,Japan,Russia,France,Arab countries wanaofanya kazi UN? Unazijua lugha rasmi za umoja wa mataifa?

..lugha rasmi za umoja wa mataifa ni Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Kichina, Kirusi, na Kispaniola.

..lugha rasmi za sadc ni Kiingereza, Kifaransa, na Kireno.
 
..lugha rasmi za umoja wa mataifa ni Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Kichina, Kirusi, na Kispaniola.

..lugha rasmi za sadc ni Kiingereza, Kifaransa, na Kireno.
Kwenye SADC Kiswahili kimeongezwa,rejea hotuba ya mwenyekiti wa sasa Felipe Nyusi tupiganie kikubalike UN utaona Maendeleo
 
Kwenye SADC Kiswahili kimeongezwa,rejea hotuba ya mwenyekiti wa sasa Felipe Nyusi tupiganie kikubalike UN utaona Maendeleo

..Economic muscle ndio itawezesha Kiswahili kusambaa.

..Ukiangalia lugha rasmi kama Kiingereza, Kifaransa, zilisambaa ulimwenguni kutokana na mataifa hayo kujitanua kiuchumi, na kiutawala, wakati wakitafuta makoloni.

..Sasa tujiulize kama Tz tuna rasilimali watu na rasilimali fedha za kusambaza na kuitangaza lugha yetu ktk mataifa mengine.

..Je, ni busara kutumia fedha za walipa kodi wa Tz kufundisha Kiswahili ktk mataifa mengine? Je, tutakuwa tunatenda haki ukizingatia changamoto zilizoko ktk sekta ya elimu nchini?
 
Back
Top Bottom