Mbunge Mchungahela: CAG analaumiwa kuwa anaifedhehesha Serikali

Mbunge Mchungahela: CAG analaumiwa kuwa anaifedhehesha Serikali

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Lulindi, Issa Mchungahela amesema dhana iliyojitokeza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anaifedhehesha serikali ni potofu, kwani ukaguzi ni dhana ya utawala bora.


​
 
Sio kutekwa tu hata kuwekwa kwa kiroba.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Huyu ndiye yule alijaribu kugombea nafas fulan hapo bungen kwa lugha ya malkia mambo yakawa mengi hata kutamka tu sentens kwa kimalkia ilikiwa shida kwake
 
Back
Top Bottom