Mbunge wa Lulindi, Issa Mchungahela amesema dhana iliyojitokeza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anaifedhehesha serikali ni potofu, kwani ukaguzi ni dhana ya utawala bora.
Huyu ndiye yule alijaribu kugombea nafas fulan hapo bungen kwa lugha ya malkia mambo yakawa mengi hata kutamka tu sentens kwa kimalkia ilikiwa shida kwake