Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Hivi Ebenezar TV ipo hewani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ipo kimagumashi hata TCRA hawaitambui.Hivi Ebenezar TV ipo hewani?
Mchungaji mwiziii. Ndo maana Mimi nimeanzisha kanisa LANGU home.
Kesho lazima nikasali Mlima wa Baridi nikajionee mwenyewe mbinu mbalimbali za kuiba umeme
Kwa hiyo kama kawaida yetu watanzania, kufichiana maovu na uzembe wa kila aina?
Nami ntakuja kuabudu huko.
Kwa hiyo kama kawaida yetu watanzania, kufichiana maovu na uzembe wa kila aina?
ndio serikali ya shemeji yako inavyofanya so chukua uamuzi na kura yako mkuu
Naelewa umuhimu wa kura yangu, ni kama karata ya mwisho, siwezi kupiga kwa kuwa kila mtu anapiga kura ya aina hiyo.....
nasikia hata watu akiwapa kazi za ujenzi nk. huwa hawalipi.hii habari hata me nimeshaickia sana ila cjaithibitisha...
Kesho lazima nikasali Mlima wa Baridi nikajionee mwenyewe mbinu mbalimbali za kuiba umeme