Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwahahahahahaa umeonaeeeeehHii tabia ya kuokota habari kwenye vilabu vya mbege halafu mnazileta hapa JF inaninaboa sana!
Uchaguzi wa mwaka huu umeingiza watu wa ajabu sana JF. Wengi ninamashaka sana na viwango vya elimu zao.Kweli wewe mtu mmoja wa ajabu na sijui umefikaje JF
Hii tabia ya kuokota habari kwenye vilabu vya mbege halafu mnazileta hapa JF inaninaboa sana!
ni joseph selasini wa rombo. lengo lilikuwa kujiepusha na lawama za kumbeba mramba mwenye kesi ya ufisadi. mramba alikuwa mshindi halali wa jimbo la rombo
huko vunjo nako mshindi halisi alikuwa mrema wa chadema ila ccm iklimsaidia mrema wa tlp ili kumshukuru kumuunga mkono jk waziwazi na kuonyesha kuwa chadema sio tishio katika majimbo mengi kama inavyoaminiwa
Hii tabia ya kuokota habari kwenye vilabu vya mbege halafu mnazileta hapa JF inaninaboa sana!