Elections 2010 Mbunge mmoja wa CHADEMA amewekwa na CCM

Duuh kweli huyu jamaa ni mgonjwa wa akili na kama mjuavyo wagonjwa wa akili hawaponi ila wanapata nafuu tu then baada ya muda wanaripuka tena kwa mantiki hii huyu moja kwa moja ni mgonjwa wa akili,Pole mjomba kaminyane na wajinga wenzako wa CCM huko naona pia utakuwa umeridhika na mfumo wa Kifisadi au kuna kitu unapata huko.Huna issue:rip:
 


moja toa moja unapata nini vile? wanaita zero lkn kisisasa tunaita ngoma drooooooooooooo...Kaingizwa mrema katolewa wa chadema basi ndo droooo yenyewe
 
Hapo umedanganya, jumapili Iliyopita tulikuwa nae JOSEPH SELASINI mwenyewe hapa kanisa la pugu sec dsm akatupa habari nzima, yani amefight kinoma mpaka anasema alitumiwa juju matata akiwa kwenye gari anatoka kukampain nusura apoteze maisha, yani anakwambia wamemuibia kura nyingi ila bado ameshida ampaka sasa hivi ana pop kwenye mkono, jamaa ameshinda kwa mbinde usidanganywe hizi häbari ametupa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…