johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa Konde ( ACT Wazalendo) Mohamed Issa amelalamika bungeni Ajira za Wazanzibar kuchukuliwa na wageni
Mohamed Issa amesema ni uonevu mkubwa Wazanzibar kuporwa Ajira Zao.
Mlale Unono 😀😀
---
Kwa pale Zanzibar mimi naamini Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa ni mtu mwenye akili ya hali ya juu kabisa na busara na siamini kama alizidiwa maarifa na Karume kwa kusema kwamba Zanzibar watu waingie kwa utaratibu, kwanini waliweka passport, visiwa vile vinahitaji kulindwa na sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea ile Zanzibar watu watakuwa hawana sehemu ya kuishi.
Kwahiyo mimi bado nahitaji passport irudi ili kuwe na ulindaji wa wananchi kuingia pale, sasa hivi ukienda pale utakuta viwanja vimechukuliwa miti imekatwa na kulikuwa na zao la mikarafuu halipo tena limebakia Pemba, minazi hakuna tena, jambo hili sio zuri, sasa hivi ajira za watu wa Zanzibar zinachukuliwa na wageni.