Mbunge Mohamed Issa: Ajira za Wazanzibar zimechukuliwa na Wageni

Mbunge Mohamed Issa: Ajira za Wazanzibar zimechukuliwa na Wageni

Ni hivi Wazanzibar na hata wabara waelewe KATU hatutaiachia Zanzibar,never.Unapokuwa umepakana na nchi kubwa ni lazima ufichwe vilivyo kwa ajili ya usalama wa nchi hyo,Zanzibar tutaishikilia vilivyo kwa ajili ya usalama wa Tanzania bara.
Kitendo cha Urusi kuipa uhuru na kuiachia kabisa UKRAINE ndo kunaifanya kwasasa ilipe gharama kubwa!!..Mataifa yote makubwa yamevishikilia au yanavikontroo vijirani vyao hata Marekani haitakaa impe uhuru CUBA,never vivyohivyo UCHINA haiwez mpa uhuru Taiwan au Hongkong!!!
Kwahyo wazanzibar mtuelewe for our future survival and fate,never!
Duniani kuna vitisho vikubwa vya ugaidi na Zanzibar inaweza kiwa potential kwa JIHAD nk so we will never,aisee eleweni hilo.Na tukiona chokochoko ni nyingi TUNAWAPIGA,let us make it clear you should behave.Wazanzibar ni waafrika na wale wanaojiona kama waarabu ni zao la watumwa weusi waliotoka na ma-slave masters.You guyz mnavikwa upofu na uarabuuarabu sana.
So kaeni kwa kutulia muungano upo na utaendelea kuwepo.Sisi kuwalea na kuwapendelea sio ishu sana kwasabab tunalinda amani yetu ya sasa na ya vizazi vijavyo.Hatutaki Zenj iwe playground ya external forces against Dar Es Salaam
Dawa Hicho kisiwa kigeuzwe kuwa Mkoa
 
Yeye huku bara anafanya nini? Analipwa mshahara na SMZ?

Hawa wapuuzi naona saa wamekuwa na pumzi za kuhara upuuzi.
Unajua Mungu na Sisi Binadamu, na Sheria kama zimetungwa kikamilifu zinaweka njia za kuthibitiana. Lakini bahati Mbaya katiba ambayo ni sheria mama haikuwekwa kuthibitiana Bali kisiasa, hivyo upande moja kuwa na fursa zaidi juu ya upande mwingine. Katiba ya Warioba ingeondoa au kupunguza haya mambo.
 
Mbunge wa Konde ( ACT Wazalendo) Mohamed Issa amelalamika bungeni Ajira za Wazanzibar kuchukuliwa na wageni

Mohamed Issa amesema ni uonevu mkubwa Wazanzibar kuporwa Ajira Zao.

Mlale Unono 😀😀
---
Kwa pale Zanzibar mimi naamini Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa ni mtu mwenye akili ya hali ya juu kabisa na busara na siamini kama alizidiwa maarifa na Karume kwa kusema kwamba Zanzibar watu waingie kwa utaratibu, kwanini waliweka passport, visiwa vile vinahitaji kulindwa na sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea ile Zanzibar watu watakuwa hawana sehemu ya kuishi.

Kwahiyo mimi bado nahitaji passport irudi ili kuwe na ulindaji wa wananchi kuingia pale, sasa hivi ukienda pale utakuta viwanja vimechukuliwa miti imekatwa na kulikuwa na zao la mikarafuu halipo tena limebakia Pemba, minazi hakuna tena, jambo hili sio zuri, sasa hivi ajira za watu wa Zanzibar zinachukuliwa na wageni.
Hii hatari kumbe kuna watanzania ni wageni Zanzibar? ?
 
Ni kweli kabisa, Wazanzibari wote kabisa ni waTanzania, lakini siyo waTanzania wote ni Wazanzibari.

Ndio maana mabadiliko ya Katiba ya nchi hii ni muhimu sana kwa Sasa ili kuondoa kabisa mtafaruku huu.
Shida ni kwamba viongozi wanaamini kuna upande mmoja wa muangano hauna wanalolijua na hauna lakufanya utadhani unatawaliwa kijeshi.Viongozi wanatakiwa uzinduka mapema awa watu hawatakuwa maiti milele kama mzee mmoja wakenya alivyosema mzee mwenzake anatawala maiti.
 
Back
Top Bottom