Mbunge Mohamed Issa: Ajira za Wazanzibar zimechukuliwa na Wageni

Dawa Hicho kisiwa kigeuzwe kuwa Mkoa
 
Yeye huku bara anafanya nini? Analipwa mshahara na SMZ?

Hawa wapuuzi naona saa wamekuwa na pumzi za kuhara upuuzi.
Unajua Mungu na Sisi Binadamu, na Sheria kama zimetungwa kikamilifu zinaweka njia za kuthibitiana. Lakini bahati Mbaya katiba ambayo ni sheria mama haikuwekwa kuthibitiana Bali kisiasa, hivyo upande moja kuwa na fursa zaidi juu ya upande mwingine. Katiba ya Warioba ingeondoa au kupunguza haya mambo.
 
Hii hatari kumbe kuna watanzania ni wageni Zanzibar? ?
 
Ni kweli kabisa, Wazanzibari wote kabisa ni waTanzania, lakini siyo waTanzania wote ni Wazanzibari.

Ndio maana mabadiliko ya Katiba ya nchi hii ni muhimu sana kwa Sasa ili kuondoa kabisa mtafaruku huu.
Shida ni kwamba viongozi wanaamini kuna upande mmoja wa muangano hauna wanalolijua na hauna lakufanya utadhani unatawaliwa kijeshi.Viongozi wanatakiwa uzinduka mapema awa watu hawatakuwa maiti milele kama mzee mmoja wakenya alivyosema mzee mwenzake anatawala maiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…