Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mp*mb*v* kama wap*mb*v* wengine."Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti irudi kwa sababu Tanzania hii ni kubwa, hii Tanzania tumepakana na majirani zetu ambao wana sura zinazofanana na sisi, wana lugha inayofanana na sisi lakini inafikia wakati kuna udanganyifu hata kwenye kupata vitambulisho. Wanapoingia Zanzibar ndiyo wanachukua zile kazi.” - Mohamed Issa, Mbunge wa Jimbo la Konde
View attachment 2979147
View attachment 2979168
Swahili Times
====
Pia soma: