tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mbunge Mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Salome Makamba apiga magoti mbele ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kumuombea kura mgombea nafasi ya Urais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea na kampeni zake za kumwaga sera katika mikoa mbalimbali.
Soma pia: Salome Makamba Mbunge wa Covid-19 amkaanga Tundu Lissu Bungeni, adai kuzuia Uchaguzi ni Uhaini, aungana na G55
Makamba amezungumza hayo mbele ya viongozi wa CCM na mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Babati Vijijini ndugu Daniel Sillo ambaye anapeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi.