GE2025 Mbunge mstaafu wa CHADEMA Salome apiga magoti akimuombea kura Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mbunge Mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Salome Makamba apiga magoti mbele ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kumuombea kura mgombea nafasi ya Urais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea na kampeni zake za kumwaga sera katika mikoa mbalimbali.

Soma pia: Salome Makamba Mbunge wa Covid-19 amkaanga Tundu Lissu Bungeni, adai kuzuia Uchaguzi ni Uhaini, aungana na G55

Your browser is not able to display this video.

Makamba amezungumza hayo mbele ya viongozi wa CCM na mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Babati Vijijini ndugu Daniel Sillo ambaye anapeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi.
 
Salome ni mzalendo haswa. Kakataa kuendelea kuwa nyumbu wa CHADEMA.
 
Hamna cha ajabu, anatetea rumbo lake, ogopa njaa jamaa
 
Wa Chadema wakati aligombea viti maalumu akafyekwa na wajumbe
 
Wacha atafute ugali wa watoto wake, si mnajua Rais ana nafasi nyingi za Viti maalumu 😜
 
huyo sio mbunge mstaafu wa chadema, ni mbunge mstaafu wa marehemu Magufuli na marehemu Ndugai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…