Na siyo kuondolewa kazini tu, wanatekwa na kupotezwa. Samia ametoa ruksa kila kiongozi ale kwa urefu wa kamba yake.Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.
Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/
Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.
Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/
Kijana mwenye mchango mdogo kwa taifa habari yako.?Ukiona msukuma anaongea mambo ya kuilenga serikali ujue wamemgusa kwenye maslahi yake (Mabus au kituo cha mafuta). Jamaa mali zake zikiguswa hua anakandia serikali kimtindo
Kijana mwenye mchango mdogo kwa taifa habari yako.?
Kwanza ijulikane kuwa "10%" dunia mzima IPO. Atabisha ambaye hana exposure kuhusu mambo haya kama vile Musukuma.Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.
Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/
Ujumbe ni kuwa chama,dola,mihimili yote inazingua na inafifisha ndoto,matumaini ,maendeleo,ustawiheshima uchumi,siasa,haki,uwajibikaji,utawala bora utawala wa sheria amani,utulivu na vyote vilivyokuwa nuru ya taifa hili!Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.
Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/
Kwanza ijulikane kuwa "10%" dunia mzima IPO. Atabisha ambaye hana exposure kuhusu mambo haya kama vile Musukuma.
Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato unajitahidi kweli kulipamba. Kwa siku lazima uanzishe vijithread japo viwili vitatu vya kumkumbukaMbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.
Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/
Wewe ni Afisa Manunuzi. Endelea kula kwa urefu wa KambaKwanza ijulikane kuwa "10%" dunia mzima IPO. Atabisha ambaye hana exposure kuhusu mambo haya kama vile Musukuma.
Wewe ni Afisa Manunuzi. Endelea kula kwa urefu wa KambaKwanza ijulikane kuwa "10%" dunia mzima IPO. Atabisha ambaye hana exposure kuhusu mambo haya kama vile Musukuma.