MBUNGE MTARAJIWA kutumbuiza Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Kenya huko Frankrurt

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
MBUNGE MTARAJIWA wa Kisarawe kwa tiketi ya CUF, Rashidi Mwinyishehe Mzange atakuwa kwenye Ukumbi wa Günes Theater, Rebstöcker Str. 49d, Jijini Frankfurt kwenye maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Kenya, maarufu kama Siku ya Jamhuri 12 Desemba 2015, ambapo pamoja na mambo mengine atafanya onesho moja la kufa mtu.


Tangu mwaka 2010, mchekeshaji huyu mwenye hadhi, jina, na staili ya kipekee Afrika Mashariki amekuwa akialikwa kutumbuiza kwenye maadhimisho hayo ambayo hufanyika kila mwaka yakiandaliwa na Wakenya wanaoishi nchini Ujerumani kwa kushirikiana na taasisi zao!

Hiki ni kionjo cha Mzange mwaka 2010 kwenye maadhimisho hayo;

 
Last edited by a moderator:
Uchekeshaji wa Kingwendu, kwa mtazamo wangu ni culturally bound. His antics are appreciated
by more tanzanians than other nationalities.
 

Hiyo december atakua tayari raia wa kawaida
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…