Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
MBUNGE MTARAJIWA wa Kisarawe kwa tiketi ya CUF, Rashidi Mwinyishehe Mzange atakuwa kwenye Ukumbi wa Günes Theater, Rebstöcker Str. 49d, Jijini Frankfurt kwenye maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Kenya, maarufu kama Siku ya Jamhuri 12 Desemba 2015, ambapo pamoja na mambo mengine atafanya onesho moja la kufa mtu.
Tangu mwaka 2010, mchekeshaji huyu mwenye hadhi, jina, na staili ya kipekee Afrika Mashariki amekuwa akialikwa kutumbuiza kwenye maadhimisho hayo ambayo hufanyika kila mwaka yakiandaliwa na Wakenya wanaoishi nchini Ujerumani kwa kushirikiana na taasisi zao!
Hiki ni kionjo cha Mzange mwaka 2010 kwenye maadhimisho hayo;

Last edited by a moderator: