PostGE2025 Mbunge mteule Viti Maalum, Mwanaenzi Hassan Suluhu ala kiapo bungeni tayari kulitumikia Taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge Mteule wa Viti Maalum Zanzibar Mwanaenzi Hassan Suluhu, leo Novemba 12, 2025 katika Bunge la 13 Mkutano wa kwanza kikao cha pili Jijini Dodoma, amekula kiapo kulitumia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kikamilifu

Hilo jina sio geni, sijui nimewahi kulisikia wapi vile?
 
Asante sana, kwa vile watanganyika tumekuwa mazuzu hasa viongozi wetu, acha hii familia ya KUZIMU KAZI itengeneze dynasty yake na kuitawala kabisa tanganyika huku wakifanya lolote wanalotaka.
 
Back
Top Bottom