Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

Kwani ndiyo mara yake ya kwanza?
 
Ni bora ajiuzulu ili kuunga mkono juhudi
Mtamlipa pesa zake za uchaguzi?

Gharama alizotumia atalipwa na Nani?

Hata wewe ungekuwa kwenye nafasi kama yake Im sure ungeenda
 
Ubunge siyo wa CHADEMA ni wa wananchi, hivi Lissu angeshinda urais madiwani na wabunge wote wa CHADEMA wakachakachuliwa kwa kura fake angegoma kuwa rais kwa kuwa madiwani na wabunge wa CHADEMA wote wamedhulumiwa haki yao?
 
Ubunge siyo wa CHADEMA ni wa wananchi, hivi Lissu angeshinda urais madiwani na wabunge wote wa CHADEMA wakachakachuliwa kwa kura fake angegoma kuwa rais kwa kuwa madiwani na wabunge wa CHADEMA wote wamedhulumiwa haki yao?
 
Ana roho ngumu sana! Atakuwa mchawi. Kama siyo mchawi, hauwezi. CHADEMA wamfukuze uanachama ili atumikie kupitiala asifujuzww

Ana roho ngumu sana! Atakuwa mchawi. Kama siyo mchawi, hauwezi. CHADEMA wamfukuze uanachama ili atumikie kupitia CCM.

Wala asifukuzwe au kuulizwa chochote, bali msimamo wa chama ubaki pale pale hasa kutokupeleka wabunge wa viti maalum. Huyo kumfukuza au kumzuia kwenda bungeni ni kutoa nafasi ya hali hiyo kufanyiwa propaganda chafu. Aachwe ajinafasi maana huko bungeni ni sehemu ya kipato, lakini sio lolote la maana ndani ya hilo bunge kibogoyo.
 
Wewe kwa akili yako fupi ulitaka afanye nini?
 
Naona matanga ndo imekua habari hii. Mnawaacha 99% mnamtangaza uyu.

Mnateseka sana kwa kweli

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wakati wabunge wa Chadema wanavuta posho na kutoroka wakidai wanakimbia Covid hukuona maovu yao kuwa wanapenda pesa? Leo huyu dada kuwakilisha waliomchagua unaleta uswahili wa mkosaji.
 
Ubunge siyo wa CHADEMA ni wa wananchi, hivi Lissu angeshinda urais madiwani na wabunge wote wa CHADEMA wakachakachuliwa kwa kura fake angegoma kuwa rais kwa kuwa madiwani na wabunge wa CHADEMA wote wamedhulumiwa haki yao?.

Mbona waliacha pesa za bunge la katiba, ana hizi ndio hela zaidi? Sisi mbona sio wabunge na tunaendesha maisha yetu tu?
 
Huyu Mama Jasiri sana

Jimbo lake pekee limetoa asillimia 66% ya Madiwan wote wa Chadema hapa Nchini
Nina wakika maCCM hili jimbo wakalisahau kimpindi ya kupiga kura lipo hapa nchini. Hii ni true reflection uchaguzi ungekua huru na haki matokeo yake yangekuwa ma66% mungu nisamehe kama nimekosea
 
Wakati wabunge wa Chadema wanavuta posho na kutoroka wakidai wanakimbia Covid hukuona maovu yao kuwa wanapenda pesa? Leo huyu dada kuwakilisha waliomchagua unaleta uswahili wa mkosaji.

Umeona nikizuia yeye kwenda bungeni? Wakati huo wa covid wananchi walimwaga damu zao kwa kutumia vyombo vya dola?
 
Mshamba ni yule anaacha kulala kwao anaenda kulala kwa balozi wa Ujerumani akikimbia kesi na madeni ya pesa alizohongwa.
 
Chadema Kama chama kipo imara Sana, na kwa haya yanayoendelea no kabisa inaonesha wananchi wako na Chadema mpaka dahari,
Huyu mbunge Kuna kivuli kinampa jeuri mpaka kua na misimamo tofauti na chama ,CHADEMA FUKUZIA MBALI
 
Hayo ndio mambo katumia pesa pengine hata alikopa ili apige kampeni alafu watu walete blaa blaa nenda kajilie keki ya nchi ni zamu yako hii wengine zamu yao ilishapita
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨
 
Umeona nikizuia yeye kwenda bungeni? Wakati huo wa covid wananchi walimwaga damu zao kwa kutumia vyombo vya dola?
Habari za kumwaga damu zinatoka wapi? Na kuchukua posho kwa maslahi ya kulinda tumbo kuliko kuwakilisha wananchi unaona sawa tu.
 
Habari za kumwaga damu zinatoka wapi? Na kuchuku posho kwa maslahi ya kulinda tumbo kuliko kuwakilisha wananchi unaona sawa tu.

Unalazimisha kuchanganya mada, ndio maana unakutana na majibu hayo. Ni hivi, huna hoja.
 
KUB ajaye labda viti maalumu waje kumnyang'anya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…