Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Wewe ndio huna hoja, mwacheni huyu dada awakalishe wananchi, Mbowe kukosa ubunge ndio msipeleke wawwkilishi wa viti maalumu? Ndio maana tunasema mlikuwa bungeni kwa ajili ya maslahi ya Saccos fc club from kinondoni shamba mabondeni.Unalazimisha kuchanganya mada, ndio maana unakutana na majibu hayo. Ni hivi, huna hoja.
Hakuna viti maalum kwa Chadema hawakufikisha 5% ya wabunge wote wa kuchaguliwa. Mwache dada wa watu akawatumikie wapigakura wake pia kumbuka ameingia gharama kwenye kampeni Chadema hawakumsaidia hata senti tano. Kawalipa mawakala wake kutoka mfukoni mwake.Yuko mbele mbele sana, sijui ushamba au kitu gani, ndio maana akahudhuria mpaka sherehe za kuapishwa jiwe.
Mtu wa namna hii huwezi kumpa ushauri wa tofauti na kwenda bungeni akaufuata, na anaweza kuwa ndio anatumiwa na CCM kuwalainisha wabunge wengine wa Chadema wakubali teuzi za viti maalum.
Chadema, mfukuzeni uanachama huyu limbukeni na mshamba. Hatufai katika harakati za kuikomboa nchi hii.Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake.
Hongera Sana
View attachment 1622063
Ningeenda sababu ya BT yaani bora tumbo.Mtamlipa pesa zake za uchaguzi?
Gharama alizotumia atalipwa na Nani?
Hata ww ungekuwa kwenye nafasi kama yake Im sure ungeenda
Aachwe tu. Na Chadema wasimzungumzie kabisa. Hii itampa nafasi kuonyesha jinsi atakavyo wapigania waliompigia kura. Kwa vile yuko njiani kwenda upande wa pili, mwenyewe atajiondoa.Wala asifukuzwe au kuulizwa chochote, bali msimamo wa chama ubaki pale pale hasa kutokupeleka wabunge wa viti maalum. Huyo kumfukuza au kumzuia kwenda bungeni ni kutoa nafasi ya hali hiyo kufanyiwa propaganda chafu. Aachwe ajinafasi maana huko bungeni ni sehemu ya kipato, lakini sio lolote la maana ndani ya hilo bunge kibogoyo.
Ndiyo maana alipewa ubunge na CCMYuko mbele mbele sana, sijui ushamba au kitu gani, ndio maana akahudhuria mpaka sherehe za kuapishwa jiwe.
Mtu wa namna hii huwezi kumpa ushauri wa tofauti na kwenda bungeni akaufuata, na anaweza kuwa ndio anatumiwa na CCM kuwalainisha wabunge wengine wa Chadema wakubali teuzi za viti maalum.
Aijawai kutokea na aitoweza kutokea.Ushawahi kuona Mchaga kususia cheo au ruzuku?
Kwisha habari yenu, mlitunyima usingizi kwa kutuhadaa kwamba mko tayari kuchukua nchi halafu leo mnadai kuibiwa kura. Poor Chadema, hamjakomaa kuchukua nchi. Kifupi hamna tofauti na Trump anadai kuibiwa lakini ushahidi hana.Chadema Kama chama kipo imara Sana, na kwa haya yanayoendelea no kabisa inaonesha wananchi wako na Chadema mpaka dahari,
Huyu mbunge Kuna kivuli kinampa jeuri mpaka kua na misimamo tofauti na chama ,CHADEMA FUKUZIA MBALI
Ningeenda sababu ya BT yaani bora tumbo.
Kihusu gharama za uchaguzi mdogo nadhani NEC wanazo pesa.Tunataka bunge la kijani tupu kama ilivyokuwa miaka ya 70 na 80
Wanachota benki kuuWanazo wanatoa wapi?
Chadema walivyozoea kugalagaza pesa ya ruzuku unadhani watamzuia thubutuuuuuu, Aida ni mtaji kwa Chadema bado na viti maalum watapeleka maana wafuatiwa na ruzuku isiyopungua 100milioni nani mjinga aachie mshiko.Mnyika anazuga tu tayari wanajua kuna kipatoWewe ndio huna hoja, mwacheni huyu dada awakalishe wananchi,Mbowe kukosa ubunge ndio msipeleke wawwkilishi wa viti maalumu? Ndio maana tunasema mlikuwa bungeni kwa ajili ya maslahi ya Saccos fc club from kinondoni shamba mabondeni.
huo sio utu mkuuAna roho ngumu sana! Atakuwa mchawi. Kama siyo mchawi, hauwezi. CHADEMA wamfukuze uanachama ili atumikie kupitia CCM.
umeanza....Yuko mbele mbele sana, sijui ushamba au kitu gani, ndio maana akahudhuria mpaka sherehe za kuapishwa jiwe.
Mtu wa namna hii huwezi kumpa ushauri wa tofauti na kwenda bungeni akaufuata, na anaweza kuwa ndio anatumiwa na CCM kuwalainisha wabunge wengine wa Chadema wakubali teuzi za viti maalum.
Sawa waacha aende kwani tatizo ni lipi?????Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake.
Hongera Sana
View attachment 1622063