Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

Kosa lake nini? Tuache ujinga. Aligombea amepata. Akatae?
 
Anajihelewa sana na hayupo tayari kuwasiliti wananchi waliomchagua.
 
Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake.

Hongera Sana
View attachment 1622063
Huyu ndiye mwenye akili sasa. Dada usikubali kuendeshwa na watu wasio na akili. Akili zao zinawaza kutekwa tu na kuandamana. Wengine wanadiriki hata kutangatanga na familia kwenye nyumba za watu. Sasa hizo ni akili kweli jamani. Lazima tufike mahala tuache siasa za mihemko. Politics is like a game don't play rough game. Ujue kuna maisha baada ya siasa.
 
Nawakumbusha tu kua miaka mitano sio milele,ni kesho kutwa tu.ya leo jana na juzi tunayajua ila ya kesho ni usiku wa giza.Tutunze muda utatupa majibu.
 
Hongera kwake Aida Kenan wewe umechaguliwa na wananchi sio Mbowe na John Mnyika!!
 
Comredi Ze Marcopolo. Kitambo sana aiseeeww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…