Mbunge Munde Tambwe: Fedha zinazokusanywa na Serikali sio kwa ajili ya kulipana posho

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge Munde Tambwe amemuomba Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kuhakikisha Fedha zinazokusanywa na Serikali zinaelekezwa kwenye Maendeleo badala ya kulipana posho.

Akizungumza katika majadiliano ya Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 amesema, "Pesa hizi wazipeleke zikafanye kazi ya kuwakomboa Watanzania na sio kwa ajili ya kulipana posho kwa kazi maalum".
 
Huyu ni mpuuzi, yeye analipwa mshahara mkubwa (12M), perdiem kwa siku 120000 + posho 220000 kwa siku, hataki wenzake walipwe extra time?
 
Huyu ni mpuuzi, yeye analipwa mshahara mkubwa (12M), perdiem kwa siku 120000 + posho 220000 kwa siku, hataki wenzake walipwe extra time?
Ubinafsi na roho mbaya kama baba yao kiongozi wa malaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…