britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
kabisaMaisha ni kuchagua
Hahaahaahaaawale waliokuwa wanadeki barabara
HahaInabidi afanye hivohivo maana akikosea masharti ya dokta wake tutamsahau kwenye medani ya siasa
[emoji23][emoji23][emoji23]ufanyike mpango aibiwe tu ili anunue nyingineMazoea yana tabu yake! Siwezi kumshangaa,ameizoea kiasi kwamba anaona tabu kuacha kuitumia. Hapo mpaka ipotee au iharibike kabisa
Kama anajifanya yeye anatumia vitu vya zamani mbona ana gari na saa ya kisasa?mbunge wa geita Msukuma Kasheku ni mbunge maarufu sana amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band,
sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasion, ona simu yake kupitia video chini