KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Na huu ndo ukweliInabidi afanye hivohivo maana akikosea masharti ya dokta wake tutamsahau kwenye medani ya siasa
Very primitive! ushirikina mtupu!.Anamdanganya nani na kwa faida ya nani? ukifatilia hako katochi ndani utakuta ni tunguli na hirizi tu zimebandikwaMbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.
Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.
Ona simu yake kupitia video chini
KumbeMaajabu ya dunia yapo Tanzania ila wanasingizia kuwa yapo ulaya mara mashariki ya mbali (Asia)
Kweli dunia ni hadaa... Na siasa ni asasi.
Saga la IGPSaga lale na RPC liliishia wapi? RPC angemuweka ndani tena kwa maneno yale ya kichochezi.
Ht mm ninayo yangu, Nokia105 ya kitochi nlinunua 2008....japo nina cm zngne mbili za smart lkn hii siiachi labda ipotee au iibiwe, naip3nda sana!Mazoea yana tabu yake! Siwezi kumshangaa,ameizoea kiasi kwamba anaona tabu kuacha kuitumia. Hapo mpaka ipotee au iharibike kabisa
Cheap politics, mbona anamiliki mabasi na ma trekta hajaitwa fisadi.Mbunge wa Geita, Musukuma Kasheku amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band.
Sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasheni.
Ona simu yake kupitia video chini
Mh kweli kuna kitu waweza fanya ukaonekana unatimiza masharti flanInabidi afanye hivohivo maana akikosea masharti ya dokta wake tutamsahau kwenye medani ya siasa