Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa Geita Vijijini, ambayo ina jumla ya kata 15, ambapo kila kata itanufaika na gari moja la kubebea wagonjwa. Aidha, ameeleza kuwa atagharamia mishahara ya madereva pamoja na matengenezo yote ya magari hayo. Wananchi watakaohitaji huduma watapaswa kuwasiliana na Katibu wa Chama kwa ajili ya uratibu wa usafiri.
Mbunge huyo pia amefichua kuwa gharama za mradi huo, ikiwemo ujenzi wa kituo cha Polisi cha kisasa kitakachokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi, zimefikia zaidi ya shilingi bilioni moja.
Vituko juu ya vituko,
Wagonjwa wafanye mawasiliano na Katibu wa CCM, haya ni maelekezo ya hovyo kutokea. Kwa maana hiyo magari hayo ni mali ya CCM au ni magazi yametolewa kwa wananchi. Kampeni zingine za kijinga. Ukiambiwa wewe ni darasa la saba, unakwenda kununua udaktari wa heshima. Watanzania tutafika mbinguni tuko hoi sana.

Acheni uongo!! magari hutolewa na serikali au wadau kwa Halmashauri (wakurugenzi) kisha wabunge huyadaka kwa ajili ya maonyesho kwa wananchi wakiwadanganya kuwa wao (wabunge) ndo wameyaleta hayo magari. Mali zote katika Halmashauri ziko chini ya DED. Ila watanzania wengi ni wajinga.

Kazi ya Ubunge na Siasa ukiwa huko juu inalipa kweri kweri !
Ila ukiwa chini chini utaambulia kapelo T-shirt na buku buku za double kiki ili ukatumwe kumdhalilisha hata Mzee Eti tu kwa sababu anakosoa hao Wanasiasa na mipesa yao π³π !
Wajinga ndio waliwao π± π