The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Watu wa systemGT
Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.
View attachment 3533994
Spectators nao wanawahigi mno kutenganisha fist fighters! Mimi naacha mpaka at least five punches zinakuwa traded!😅GT
Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.
===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.
Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.
View attachment 3533994
Ilitakiwa amkanyagie kisawasawa mpk amtegue tezi dume, vinakera sana vijuaji.Msukuma ni mjinga, huyo jamaa ilitakiwa amtandike kisawasawa
Ccm Kuna watu wazima ???Sema watu wazima kurushiana makonde hivyo kwa mambo yanayopaswa kufuata taratibu ni ulimbukeni.
Kweli mkuuCcm Kuna watu wazima ???
Kinachoonyesha watu wazima ni akili sio maumbile au umri
Ccm kungekuwepo watu wazima tungekuwa tuko mbali sana
Nani aliemuona blaza mwenye maji hapo mwisho anajidai usalama wa taifa kumbe kishoia mmoja tu.GT,
Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.
===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.
Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.
View attachment 3533994
Sema watu wazima kurushiana makonde hivyo kwa mambo yanayopaswa kufuata taratibu ni ulimbukeni.
Madhara ya akili ndogo kumiliki mabungutu ya pesaSema watu wazima kurushiana makonde hivyo kwa mambo yanayopaswa kufuata taratibu ni ulimbukeni.