inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
Umuhimu wa Elimu utabaki kua na umuhimu wake mpaka mwisho wa Dunia,
Huwezi kuibeza Elimu ikiwa magari anayoendesha,Simu anayoitumia,Ndege anazopanda akisafiri ni matokeo ya Elimu,
Siku akiumwa hawezi kukubali kutibiwa na Dokta asiye na elimu,Mwenye elimu hawezi kua sawa na asiye na elimu hata kama aliye na elimu ni masikini na asiye na elimu ni tajiri,
Utofauti wetu kwenye hii Dunia ndio unaifanya Dunia ya leo kua hivi,huwezi kuidharau Elimu kisa umefanikiwa kimaisha kwa kununua assets ambazo ni matokeo ya elimu,hata Nyumba anayoishi,kitanda anachokilalia,Tv anayoiangali
Tatizo ni tafsiri ya maana ya elimu.Tumekaririshwa kuwa elimu ninike rasmi tu,ukae darasani,ufanye Mtihani,utoke na matokeo ya cheti kizuri,alafu tunakuwa waabufu urasimu na maripoti mengi ambayo hayana tija.Hiyo ndo tunaona ni elimu.anazozivaa,viatu anavyovivaa ni matokeo ya Elimu.
Ila ukija suala la maana halisi ya elimu,msukuma na yeye kwa upande wake ni msomi mzuri sana WA elimu ISIYO rasmi,sema tu tunajufanya vichwa ngumu,hatumtambui.Vipo vitu vingi sana anavijua wewe unayejiita umesoma hauvijui Ila Kuna vitu na Wewe unayejiita umesoma unavijua na yeye havijui.Hata mliosoma kwa kusoma,bado Kuna mambo hamuoni sawa.Tuache kumpuuza na kumbeza msukuma.