Umuhimu wa Elimu utabaki kua na umuhimu wake mpaka mwisho wa Dunia,
Huwezi kuibeza Elimu ikiwa magari anayoendesha,Simu anayoitumia,Ndege anazopanda akisafiri ni matokeo ya Elimu,
Siku akiumwa hawezi kukubali kutibiwa na Dokta asiye na elimu,Mwenye elimu hawezi kua sawa na asiye na elimu hata kama aliye na elimu ni masikini na asiye na elimu ni tajiri,
Utofauti wetu kwenye hii Dunia ndio unaifanya Dunia ya leo kua hivi,huwezi kuidharau Elimu kisa umefanikiwa kimaisha kwa kununua assets ambazo ni matokeo ya elimu,hata Nyumba anayoishi,kitanda anachokilalia,Tv anayoiangali