mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Are you Ugandan or Congolese?🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Poor Tanzanian people
Bandani ilipokuwa inagawiwa kwa waarabu hakuliona hili? Si ndiyo wapiga chapua hawa?Mbunge wa Geita Vijijini, Musukuma Kasheku akichangia bajeti kuu amesema Tanzania tuone aibu, haiwezekani bidhaa za Uganda zinapita bandari ya Tanzania, halafu sisi tunazifuata huko
"Leo hii sisi Watanzania tunafuata bidhaa Uganda na Kenya hamuoni aibu?, bandari inayotumika ni ya Dar es Salaam kuchukua mizigo kuipeleka Uganda halafu sisi tunaifuata Uganda kuileta Tanzania hii haiwezekani tumekosea wapi?, lazima muangalie tukiiua Kariakoo tutakuja kushikana mashati humu ndani hiyo ndiyo kila kitu kwa Tanzania lazima tupalinde,"
Bandani ilipokuwa inagawiwa kwa waarabu hakuliona hili? Si ndiyo wapiga chapua hawa?
Huyu Msukuma hajitabui kabisa
Tumekosea tuliposema tule kwa urefu wa kamba bila kujipimia.tumekosea wapi?,
Mwambie ukweli huyo chawa! Anajishauwa TU hapo!Musukuma ni kati ya wabunge waliokula rushwa kubwa toka DPW: V8, nyumba Dubai, na cash dola 50,000.
Alichokisema Musukuma ni tatizo la muda mrefu halikuanza juzi ni tatizo la ushuru hapa kwetu,wataalam wetu wa kodi waache kutoza kodi kubwa ikibidi wakajifunze kwa wenzetu waliofanikiwa.Bandani ilipokuwa inagawiwa kwa waarabu hakuliona hili? Si ndiyo wapiga chapua hawa?
Mimi nilifikiri ni Chadema tupu watakao soma kirumi kumbe hata waliojifunza kiarabu bado na wenyewe wanasoma kirumi.Bandani ilipokuwa inagawiwa kwa waarabu hakuliona hili? Si ndiyo wapiga chapua hawa?
Kama umewahi kutumia bandari ya Dar unaweza kuelewa ni kwa nini nilisema hivyo. Ni kuwa waliacha ku-deal na tatizo hasa na wakakimbilia kugawa bandari. Ila sikupingi kuwa tuna tatizo la kodi.Alichokisema Musukuma ni tatizo la muda mrefu halikuanza juzi ni tatizo la ushuru hapa kwetu,wataalam wetu wa kodi waache kutoza kodi kubwa ikibidi wakajifunze kwa wenzetu waliofanikiwa.
Tanzania kodi ipo juu sana.
Ukiona wanalia sasa hapo mjengoni unaweza kusema wanamaanisha kumbe wanaigiza tuBongo huko nje ni channel ya comedy, inachekesha sana 😃
Unawaita watalam wa Kodi, Hawa ni majambazi wakubwa! Wanatakiwa kunyongwa! Aliesema kama huwezi kulipa tozo hamia Burundiiiiiii? Nchi za wenzetu angejiuzulu mara Moja!Alichokisema Musukuma ni tatizo la muda mrefu halikuanza juzi ni tatizo la ushuru hapa kwetu,wataalam wetu wa kodi waache kutoza kodi kubwa ikibidi wakajifunze kwa wenzetu waliofanikiwa.
Tanzania kodi ipo juu sana.