Mbunge Musukuma: Tunafuata bidhaa Uganda zilizopita kwenye bandari yetu. Hatuoni aibu?

Wakenya, Waganda wangekubali huu upambavu?
 

⚖️Justice for Asimwe#
 
Baada ya kuyasema hayo anaunga mkono hoja kwa asilimia 100, Taifa la kipimbi sana hili, hadaa ni nyingi mno
 
Huyu mwendawazimu alipelekwa mpk Dubai leo anashangaa ni nini?
 
Lucas de mwashambwa ephen_ sweetheart. Yani yeye ni kukata maunooo tu kwenye uchawa
 
Nakumbuka Tulia aliwahi kurusha jiwe gizani akisema kuna watu wanapiga kelele kuhusu bandari na akati hawajawahi kuagiza hata T-shirt kutoka nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…