Mbunge Musukuma wewe darasa la saba ila hufahamu kitu. Jifunze kwa wenzetu

Mbunge Musukuma wewe darasa la saba ila hufahamu kitu. Jifunze kwa wenzetu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi.

Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM.

Soma > Musukuma apendekeza tozo Kwa magari ya biashara kuvuka Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) ili Kurudisha zaidi ya Bilioni 700 Zilizotumika

Wenzetu wana mfumo wa private road yani kama hutaki kushiriki barabara spidi ndogo unalipia, kama hutaki barabara za pamoja kuna VIP road.

Ukweli ni tusi kuliko tusi la kuambiwa siri za mama yako.
 
Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufata ilani ya chama cha CCM😂😂😂
 
Back
Top Bottom