Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 May 11, 2025 #1 Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi. Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM. Soma > Musukuma apendekeza tozo Kwa magari ya biashara kuvuka Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) ili Kurudisha zaidi ya Bilioni 700 Zilizotumika Wenzetu wana mfumo wa private road yani kama hutaki kushiriki barabara spidi ndogo unalipia, kama hutaki barabara za pamoja kuna VIP road. Ukweli ni tusi kuliko tusi la kuambiwa siri za mama yako.
Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi. Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM. Soma > Musukuma apendekeza tozo Kwa magari ya biashara kuvuka Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) ili Kurudisha zaidi ya Bilioni 700 Zilizotumika Wenzetu wana mfumo wa private road yani kama hutaki kushiriki barabara spidi ndogo unalipia, kama hutaki barabara za pamoja kuna VIP road. Ukweli ni tusi kuliko tusi la kuambiwa siri za mama yako.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 May 11, 2025 #2 Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufata ilani ya chama cha CCM😂😂😂
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 11, 2025 #3 Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw