Mbunge Mwanaisha Ulenge: Hakuna usawa katika upatikanaji wa Elimu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge amesema Tanzania haina usawa katika upatikanaji wa Elimu kwasababu ipo Mikoa ambayo bado ipo nyuma Kielimu, ikimaanisha kuna watu wataendelea kubaki nyuma kimaendeleo

Amefafanua, "Wakati tunaenda kufanya Mapitio kwenye Sera ya Elimu, tufanye Tafiti kujua kwanini baadhi ya Mikoa ipo nyuma, na tuje na Mapendekezo yatakayosaidia Mikoa hiyo iinuke"

Mbunge huyo ameongeza, "Inawezekana tunapeleka Rasilimali mahali ambapo hazihitajiki, na kuna sehemu inabidi tuongeze nguvu"
 
Ukiona Mbunge mpaka leo hajui kwanini kilimanjaro mkoa unaongoza kwa kuwa na shule nyingi sana za secondary kuliko mikoa yote Tanzania [emoji1241] unaaza kujiuliza amekuwa je mbunge

Kilimanjaro jimbo la Moshi na Jimbo la Same hapa nazungumzia wakatoliki wanashule nyingi sana...

Pia 1994 shule za kata ziliaza mkoa wa kilimanjaro

Sasa kama 1994 wenzako waliazisha shule za kata
Wewe umekuja kuazisha mwaka 2015 unataka kweli ufanane na kilimanjaro?
 
Serikali inajitahidi sana kwenye suala la elimu kwa nchi yote
Mbunge amepotoka
 
Ukiona Mbunge mpaka leo hajui kwanini kilimanjaro mkoa unaongoza kwa kuwa na shule nyingi sana za secondary kuliko mikoa yote Tanzania [emoji1241] unaaza kujiuliza amekuwa je mbunge

Kilimanjaro jimbo la Moshi na Jimbo la Same hapa nazungumzia wakatoliki wanashule nyingi sana...

Pia 1994 shule za kata ziliaza mkoa wa kilimanjaro

Sasa kama 1994 wenzako waliazisha shule za kata
Wewe umekuja kuazisha mwaka 2015 unataka kweli ufanane na kilimanjaro?
Tafuta CV yake Mkuu, unaweza kuwa unapoteza muda wako kufikiria jambo ambalo aliyeliwasilisha ni kundi lileeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
Back
Top Bottom