Ukiona Mbunge mpaka leo hajui kwanini kilimanjaro mkoa unaongoza kwa kuwa na shule nyingi sana za secondary kuliko mikoa yote Tanzania [emoji1241] unaaza kujiuliza amekuwa je mbungeMbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge amesema Tanzania haina usawa katika upatikanaji wa Elimu kwasababu ipo Mikoa ambayo bado ipo nyuma Kielimu, ikimaanisha kuna watu wataendelea kubaki nyuma kimaendeleo
Amefafanua, "Wakati tunaenda kufanya Mapitio kwenye Sera ya Elimu, tufanye Tafiti kujua kwanini baadhi ya Mikoa ipo nyuma, na tuje na Mapendekezo yatakayosaidia Mikoa hiyo iinuke"
Mbunge huyo ameongeza, "Inawezekana tunapeleka Rasilimali mahali ambapo hazihitajiki, na kuna sehemu inabidi tuongeze nguvu"
Tafuta CV yake Mkuu, unaweza kuwa unapoteza muda wako kufikiria jambo ambalo aliyeliwasilisha ni kundi lileeeeeeeeeeeeeeeee!!!Ukiona Mbunge mpaka leo hajui kwanini kilimanjaro mkoa unaongoza kwa kuwa na shule nyingi sana za secondary kuliko mikoa yote Tanzania [emoji1241] unaaza kujiuliza amekuwa je mbunge
Kilimanjaro jimbo la Moshi na Jimbo la Same hapa nazungumzia wakatoliki wanashule nyingi sana...
Pia 1994 shule za kata ziliaza mkoa wa kilimanjaro
Sasa kama 1994 wenzako waliazisha shule za kata
Wewe umekuja kuazisha mwaka 2015 unataka kweli ufanane na kilimanjaro?