Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

Hii ishu ya KADCO imenifanya nimchukie sana mwanasheria mkuu. Yaani anaitetea wakati kila kitu kipo wazi. Huyu AG, Mbarawa na Nape wanatakiwa kupigwa chini.
 
Back
Top Bottom