MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Nov 5, 2023 #21 Hii ishu ya KADCO imenifanya nimchukie sana mwanasheria mkuu. Yaani anaitetea wakati kila kitu kipo wazi. Huyu AG, Mbarawa na Nape wanatakiwa kupigwa chini.
Hii ishu ya KADCO imenifanya nimchukie sana mwanasheria mkuu. Yaani anaitetea wakati kila kitu kipo wazi. Huyu AG, Mbarawa na Nape wanatakiwa kupigwa chini.