Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mapambio kila kukicha bila kuchoka
==
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba Ruhoro akiwa anata mchango wake bungeni leo April 29, 2025 ameeleza kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo anastahili mitano tena na hata wale wa upande wa pili wa 'No reofrms No electio' wanasema kimoyomoyo Samia mitano tena.