Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Naturally akili Za viongoZi wa Tanzania hazina tofauti kabisa na raia wa kawaida.Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba Ruhoro akiwa anata mchango wake bungeni leo April 29, 2025 ameeleza kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo anastahili mitano tena na hata wale wa upande wa pili wa 'No reofrms No electio' wanasema kimoyomoyo Samia mitano tena.
View attachment 3319551
Kupigiwa kura kuwa ni hatua ya mwisho, kuwa kuna michujo inayopima utimwmu wa akili na mwili, educational qualification zipandishwe kuepukana na huu ujingaMbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba Ruhoro akiwa anata mchango wake bungeni leo April 29, 2025 ameeleza kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo anastahili mitano tena na hata wale wa upande wa pili wa 'No reofrms No electio' wanasema kimoyomoyo Samia mitano tena.
View attachment 3319551
Acha uongo boss, amesema lini hayo maneno maana bunge halipo.Mapambio kila kukicha bila kuchoka
==
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba Ruhoro akiwa anata mchango wake bungeni leo April 29, 2025 ameeleza kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo anastahili mitano tena na hata wale wa upande wa pili wa 'No reofrms No electio' wanasema kimoyomoyo Samia mitano tena.
View attachment 3319551