beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
Amesema, "Natambua zipo Asasi za Kiraia ambazo zimeshaanza Mchakato huu, mfano ni Jamii Forums na wengine. Tayari ipo rasimu hivyo kazi iliyobaki ni ndogo. Wizara ichukue jitihada ambazo zimeshaanza ilete Sheria hapa Bungeni"