Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE NGASSA: " WANA IGUNGA KWA SASA TAIFA LETU LINA UMEME WA KUTOSHA"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Ameendelea na Ziara Jimboni kwenye ngazi ya chini ya Utawala ya Vitongoji huku atokia ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa Wananchi pamoja na;
1. Kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti kwa Wananchi.
2. Kuona Maendeleo ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.
3. Kuhamasisha Wananchi kujitokeza kwenye maboresho ya Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Kujiandikisha kwenye Daftari la Wakazi
4. Kuhamasisha Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024
5. Kusikiliza Kero za Wananchi na kuzipatia ufumbuzi.
#KAZI NA MAENDELEO
#KAZI IENDELE