Miaka 60 ya uhuru bado tunaona kuwa na umeme wa uhakika ni jambo la kujisifia na kulitumia kwenye kampeni.
Ilitakiwa sasa hivi mnakuja kututembelea wananchi mnatumabia mmerusha roketi ngapi, maendeleo ya science and technology, viwanda vya magari n.k