Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Amelenga kugusa chawa wasiogusikaMbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga ameishauri Serikali kutumia njia aliyoiita ni rahisi ya kuwabaini watakatishaji fedha, ikiwa ni pamoja na pale anapoonekana mtu anafanya maendeleo lazima Serikali ijue imepata kodi kiasi gani.
Nicodemas amesema hayo bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ambayo Bunge limeombwa kuiidhinisha.
"Fedha haramu zipo, unajuaje zipo?, unaweza ukamuona mtu anajenga ghorofa lakini hajulikani anafanya biashara gani, kwa hiyo kuna kila sababu anapoonekana mtu anafanya maendeleo fulani lazima tujue huyu anafanya biashara gani". amesema Mbunge Nicodemas
Kile kichwa kuliko unavyomkiriaAnamsema Makonda
Tope tupuKile kichwa kuliko unavyomkiria
Si ndio watu wenu wa ccm hao...fools.Baba Levo na Mwijaku?+Áristotle
Ameongeajpointbila uwasilishwaji ndio kidogo amechemka kwa sasa watu kujenga ghorofa sio kipimo sahihi cha mtu kutakatisha fedha.Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga ameishauri Serikali kutumia njia aliyoiita ni rahisi ya kuwabaini watakatishaji fedha, ikiwa ni pamoja na pale anapoonekana mtu anafanya maendeleo lazima Serikali ijue imepata kodi kiasi gani.
Nicodemas amesema hayo bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ambayo Bunge limeombwa kuiidhinisha.
"Fedha haramu zipo, unajuaje zipo?, unaweza ukamuona mtu anajenga ghorofa lakini hajulikani anafanya biashara gani, kwa hiyo kuna kila sababu anapoonekana mtu anafanya maendeleo fulani lazima tujue huyu anafanya biashara gani". amesema Mbunge Nicodemas
Tuna shida kubwa katika skills za kujenga hoja.Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga ameishauri Serikali kutumia njia aliyoiita ni rahisi ya kuwabaini watakatishaji fedha, ikiwa ni pamoja na pale anapoonekana mtu anafanya maendeleo lazima Serikali ijue imepata kodi kiasi gani.
Nicodemas amesema hayo bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ambayo Bunge limeombwa kuiidhinisha.
"Fedha haramu zipo, unajuaje zipo?, unaweza ukamuona mtu anajenga ghorofa lakini hajulikani anafanya biashara gani, kwa hiyo kuna kila sababu anapoonekana mtu anafanya maendeleo fulani lazima tujue huyu anafanya biashara gani". amesema Mbunge Nicodemas
Tumia akili siyo kila anayewakilishwa ni mjinga, kaa kwa kutulia utasaidika.Jamaaa hana shule hana exposure na anawawakilisha wajinga wote wa Mbogwe. Jiwe alikuwa si mchezo
Jamaaa hana shule hana exposure na anawawakilisha wajinga wote wa Mbogwe. Jiwe alikuwa si mch