Mbunge, Nicodemas Maganga: Akionekana mtu anajenga ghorofa achunguzwe

ibirisi wa ccm pesa zenu mnanunua majumba Dubai ulaya South Africa sasa unataka kuwatengenezea Rushwa mpya Polisiccm waanze kusumbua watu wasio na hatia? Acheni upumbavu kwani ccm wengi huandika majina ya watu kwenye mali zao hata ukiwachunguza hutawapata zaidi ya kuwasumbua watu wasohusika
 
Ukiwa na wabunge ambayo qualification yao ni kujua kusoma na kuandika, jumlisha na janga jingine la uchawa; basi elewa hoja utakazo kutana nazo.
Huu ndiyo ujinga wa ccm wabunge wao ni vilaza wapumbavu watupu kila mara huwaza kuwatengenezea usumbufu wananchi
 
Polisiccm wasivyokuwa na Akili utu na huruma waweza kugeuza mtaji wa kutengeneza Rushwa , wabunge wa hovyo sasa wanahiza vitu vya hovyo badala ya kujikita ktk maendeleo zaidi
 
Kila kukicha wanahaha kuhamisha mada ya utekaji na watesi watekaji kufungia kanisa la Gwajima kwa kuzidi kutengeneza chuki toka kwa wananchi, mfano huo usumbufu wataopata wamiliki wa maghorofa wataipenda Serikali ya ibirisi wa ccm? Wabunge wa ccm acheni kuvuta Bangi kabla ya kuingia bungeni
 
Polisiccm wasivyokuwa na Akili utu na huruma waweza kugeuza mtaji wa kutengeneza Rushwa , wabunge wa hovyo sasa wanahiza vitu vya hovyo badala ya kujikita ktk maendeleo zaidi
Hawana jeuri hiyo wanaoshusha vitu asilimia kubwa ni watumishi huko,mawaziri nk

Ova
 
Ukiwa na wabunge ambayo qualification yao ni kujua kusoma na kuandika, jumlisha na janga jingine la uchawa; basi elewa hoja utakazo kutana nazo.
Tanzania imekwama kimaendeleo kwa kukumbatia wabunge makenge mabwege yanayojua kusoma na kuandika tu, huku wengine ni wavuta Bangi , yaani mbunge badala afurahie maendeleo anakuwa na wivu wa kutisha hivyo akitengenezea wananchi mateso usumbufu na Rushwa kwa wasumbufu wazee wa fursa, wabunge hawataki wafanyabiashara wakulima wafamyakazi wajenge nyumba nzuri? Ibirisi wa ccm nani kawaroga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…