Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemas Maganga, leo ameshiriki ibada katika Makanisa ya AIC na AGGCI, ambako ametoa wito kwa waumini kuendeleza amani na mshikamano katika jamii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na waumini wa Makanisa hayo, Mheshimiwa Maganga amesisitiza umuhimu wa kusameheana na kuepuka migogoro inayoweza kuleta mfarakano.