Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
..mmeshindwa kupata majibu ya wanachama wenu kuishia kuwa wasaliti..mtaweza kupata majibu ya matatizo ya nchi ambayo ccm imeyaleta kwa nchi..?Huyu alitolewa jela ili kuhongwa ubunge, unatarajia nini?
Na wewe mbona ulihongwa na DJ Mbowe ila baadae umemkimbia umekimbilia kwa Lissu mfungwa mtarajiwa.Huyu alitolewa jela ili kuhongwa ubunge, unatarajia nini?
Kamtoe Gerezani Segerea mkuu!Wameanza kubweka baada ya Simba kufungiwa kwa mashtaka ya kuungaunga
..mmeshindwa kupata majibu ya wanachama wenu kuishia kuwa wasaliti..mtaweza kupata majibu ya matatizo ya nchi ambayo ccm imeyaleta kwa nchi..?
Mkuu lala naona unaanza kujibu kwa kusinzia..!! Umeielewa point ya Mshana kweli?Wewe kapuku huna ujualo, huo umasikini wako hauwezi kwisha kwa kushabikia uonevu, mwangalie Mahita leo
Ushachanganya ma file sasaWewe kapuku huna ujualo, huo umasikini wako hauwezi kwisha kwa kushabikia uonevu, mwangalie Mahita leo
Nimecheka sana. Jamaa kajichanganya🤣Mkuu lala naona unaanza kujibu kwa kusinzia..!! Umeielewa point ya Mshana kweli?
Mpuz tu huyuHuyu alitolewa jela ili kuhongwa ubunge, unatarajia nini?
Uchawa katika ubora wake!!!!! Eti huyu naye ni mbunge wakati ni mla ubuge utokanao na uchawa.Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.
Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.
Amesema “Hakuna mtu mwenye uwezo wa kudhibiti uchaguzi , pale CHADEMA hakuna hata wapiga kura milioni tano huwezi ukawambia Wazunguke Mikoani wakatafute saini milioni 15 , hakukuwa na haja ya kutumia nguvu nawala hawana pesa zakuzunguka kwenye mikoa kufanya Mikutano ya hadhara ,”
Hanje pia ameipongeza serikali kwa udhibiti wake wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya, akiiomba kuendeleza jitihada za uthibiti wa dawa hizo kutokana na madhara yake makubwa katila kuua nguvu kazi ya Vijama wa Kitanzania.
Maulidi kitenge ni kitu gani?Mtoa mada ni Maulidi Kitenge