29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Mke wa kuongeza wa maulidi kitengeMuuza utamu huyo naombeni connect 😋

Yule anayejamiiana na huyo mbunge aloiyatajwa.Maulidi kitenge ni kitu gani?
Cc Allen KilewellaMbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.
Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.
Amesema “Hakuna mtu mwenye uwezo wa kudhibiti uchaguzi , pale CHADEMA hakuna hata wapiga kura milioni tano huwezi ukawambia Wazunguke Mikoani wakatafute saini milioni 15 , hakukuwa na haja ya kutumia nguvu nawala hawana pesa zakuzunguka kwenye mikoa kufanya Mikutano ya hadhara ,”
Hanje pia ameipongeza serikali kwa udhibiti wake wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya, akiiomba kuendeleza jitihada za uthibiti wa dawa hizo kutokana na madhara yake makubwa katila kuua nguvu kazi ya Vijama wa Kitanzania.
Alaa kumbe!!!!Yule anayejamiiana na huyo mbunge aloiyatajwa.
Njaa mbaya sana.Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.
Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.
Amesema “Hakuna mtu mwenye uwezo wa kudhibiti uchaguzi , pale CHADEMA hakuna hata wapiga kura milioni tano huwezi ukawambia Wazunguke Mikoani wakatafute saini milioni 15 , hakukuwa na haja ya kutumia nguvu nawala hawana pesa zakuzunguka kwenye mikoa kufanya Mikutano ya hadhara ,”
Hanje pia ameipongeza serikali kwa udhibiti wake wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya, akiiomba kuendeleza jitihada za uthibiti wa dawa hizo kutokana na madhara yake makubwa katila kuua nguvu kazi ya Vijama wa Kitanzania.
Foolish kabisa👿Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.
Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.
Amesema “Hakuna mtu mwenye uwezo wa kudhibiti uchaguzi , pale CHADEMA hakuna hata wapiga kura milioni tano huwezi ukawambia Wazunguke Mikoani wakatafute saini milioni 15 , hakukuwa na haja ya kutumia nguvu nawala hawana pesa zakuzunguka kwenye mikoa kufanya Mikutano ya hadhara ,”
Hanje pia ameipongeza serikali kwa udhibiti wake wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya, akiiomba kuendeleza jitihada za uthibiti wa dawa hizo kutokana na madhara yake makubwa katila kuua nguvu kazi ya Vijama wa Kitanzania.
Taarifa ikufikie.Alaa kumbe!!!!
Shukran mwananguTaarifa ikufikie.
Asante fatherShukran mwanangu
Lkn hapo kasema ukweli mchunguHuyu alitolewa jela ili kuhongwa ubunge, unatarajia nini?
Jamaa amepitia mateso sana, Mungu aendelee kutenda makuu juu yakeHuyo mala..ya mwambieni anyamaze...
View attachment 3299472
Kapitia mengi kwenye nini?Jamaa amepitia mateso sana, Mungu aendelee kutenda makuu juu yake
Kwenye mahusianoKapitia mengi kwenye nini?
Salome Makamba said the sameMbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.
Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2025/2026.
Amesema “Hakuna mtu mwenye uwezo wa kudhibiti uchaguzi , pale CHADEMA hakuna hata wapiga kura milioni tano huwezi ukawambia Wazunguke Mikoani wakatafute saini milioni 15 , hakukuwa na haja ya kutumia nguvu nawala hawana pesa zakuzunguka kwenye mikoa kufanya Mikutano ya hadhara ,”
Hanje pia ameipongeza serikali kwa udhibiti wake wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya, akiiomba kuendeleza jitihada za uthibiti wa dawa hizo kutokana na madhara yake makubwa katila kuua nguvu kazi ya Vijama wa Kitanzania.
Hizi takataka zinazo jiita vitu maalumu ni takataka kama takataka zingineMbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.