PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje: Hakuna wa kuzuia Uchaguzi, msiwape umaarufu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Cc Allen Kilewella
 
Huyu akishajilewea pombe zake anabwatuka tu tusubir clip nyingne akiwa kalewa
 
Inaonekana dawa lissu aliwaonjeashaa imeanzaa kufanyaa kazii Kwa ma CCM ss wanawewesekaa, Enyiiiiiíiíiiiiiiiiiiiiiiiii WATANZANIA lisuu atawaweza ma CCM bila CC wananchi kumuunga mkono Kwa nguvu zote tuwape Jamba Jamba wa wachumia tumbo wa CCM...
 
Njaa mbaya sana.
 
Foolish kabisa👿
 
Nusrat ni pisi moja kali sana kutoka CHADEMA yenye akili mingi mno.
 
Hata Salome Makamba wa Shinyanga alisema hivyo hivyo. Lissu na nyumbu Salome Makamba said the same
 
Hizi takataka zinazo jiita vitu maalumu ni takataka kama takataka zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…