Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
- Thread starter
- #21
Huna unachojijua kuhusu korosho ,mbona hujazungumzia unafiki wa raisi magufuli kuhusu Koroshow... alisema angezibangua baada ya cku mbili leo mwezi wa ngapi wengi hawajalipwaa? akiulizwa anataja pesa iliyotumika badala ya idadi ya walioliolipwa!
anasema amelipa madai ya walimu kumbe ni ulongo mtu anadai ml 1 wewe unamlipa laki 1?
anatafuta wenye vyeti feki bashite kamuacha.
serikali inafungia magazeti Tanzanite linaachwa likitukana na kujenga chuki
anapambana na rushwa pembeni yupo na rostam azizi?
Sent using Jamii Forums mobile app